Wadau nimtafune?!

Kamua kaka tena ikiwezekana piga gaga, ha ha ha ha ha.




Angali usije ukafa vibaya, bado tunakupenda. Mungu kakuepusha kwa miaka kibao sasa unataka kujimaliza mwenyewe. Kak achana naye
 
Nimeomba ushauri kama huna cha kunishauri then u better keep quite. Thanks anyway

hata mi nasisitizia. Hayo mambo yako ni binafsi sana na kujitafutia ujiko ndugu. Kuna masuala muhimu zaidi ya kujadili
 
sioni swali sasa wewe unauliza pilau siku ya harusi kwanini usijipakulie halafu ndo uje utueleze kama vilikuwa vya barid au moto
 
good one:tonguez:
 
sasa ushafanya matusi tayari,hebu tushauri cha kukushauri bana, mi ubongo umejamu
 
sasa kama humpendi umtafune ya nini?
mtu mwingine atakwambia mtafune mwingine atasema usimtafune.
ila uamuzi wako utategemea na tabia zako?
 
asikwambie mtu ukifanya ngono baada ya masaji ni tamu sana. unaweza ukamwaga kikombe cha chai kikajaa!
 


We mtafune tu si dhambi zako mwenyewe.
 
Endeleza ukware wako, leo umebandika bango ukishaukwaa ukimwi urudi tena kuweka bango lingine, usijeleta story za ooo nina kisukari sijui kansa mara BP.
 
ooh Gosh kumbe ushakula dada yake ..
Huyu nae si kwamba anahitaji massage kuna kitu anataka ..Lakini naona kama na wewe hujatulia vile.
 

Pheww!!!!!! Katika harakati za kuomba ushauri naona tayari umeishajishauri wewe mwenyewe.
 
unajua kiongozi mambo mengine ni binafsi sana,basi hata ikitokea siku nyingine unajiuliza jinsi ya kumtafuna mkeo njoo tena jukwaani tukushauri!hayo ni maamuzi yako binafsi kutegemeana na dhamira yako inavyokutuma!Hata nikisema tafuna, na mwingine akisema usitafune sidhani kama itakusaidia kitu!Tafuta mke uoe kijana!
 
Kitu kipe ng'adung'adu unasubiri nini weweeeeeeee aaaagh:decision:
 

HA HA HA HA Mpwa bwana umeniacha hoi asubuhi asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…