Bado nina imani kila lililotokea kwangu was fate
Kwani kwa haya matokeo mapya yamenipa matumaini makubwa kutoka kwenye IV ya 27 hadi III ya 25 namshukuru mungu
But it is unbalanced combination -
Chemistry = C
English =C
Na Kiswahili = C yaliyobaki yote D
Sijui itakuaje Waheshimiwa ?