Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nina tv ambayo sio smart. Sasa kuna jamaa amenishawishi ninunue tv box ili niweze kupata access ya kustream movie na mechi kwa kupitia tv box kwenye tv yangu.
Je ubora wa hizo tv box upoje?
Vp kuhusu matumizi ya bando? Inakula sana bando au kawaida?
Hivi kwa hizi internet zetu naweza kucheki mechi bila mkwamo kwa kutumia hizo tv box?
Karibuni mnipe somo...
Je ubora wa hizo tv box upoje?
Vp kuhusu matumizi ya bando? Inakula sana bando au kawaida?
Hivi kwa hizi internet zetu naweza kucheki mechi bila mkwamo kwa kutumia hizo tv box?
Karibuni mnipe somo...