wadau nipeni habari kuhusu mchakato wa katiba ukoje

wadau nipeni habari kuhusu mchakato wa katiba ukoje

mandali

Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
10
Reaction score
4
ni muda sasa sijapata kusikia kuhusu mchakato wakatiba wako wapi wanasheria wetu mtupe ni lipi linaendelea
 
Rais ndiyo yupo katika mchakato wa kutafuta wajumbe watakaounda kamati itakayokusanya maoni nchi nzima,fuatilia magazeti kwa kujiweka up to date na haya ya MUHIMU SANAAAAAAA!.
 
Back
Top Bottom