M mandali Member Joined Mar 13, 2012 Posts 10 Reaction score 4 Mar 30, 2012 #1 ni muda sasa sijapata kusikia kuhusu mchakato wakatiba wako wapi wanasheria wetu mtupe ni lipi linaendelea
ni muda sasa sijapata kusikia kuhusu mchakato wakatiba wako wapi wanasheria wetu mtupe ni lipi linaendelea
HOMOSAPIEN JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 745 Reaction score 273 Mar 30, 2012 #2 Rais ndiyo yupo katika mchakato wa kutafuta wajumbe watakaounda kamati itakayokusanya maoni nchi nzima,fuatilia magazeti kwa kujiweka up to date na haya ya MUHIMU SANAAAAAAA!.
Rais ndiyo yupo katika mchakato wa kutafuta wajumbe watakaounda kamati itakayokusanya maoni nchi nzima,fuatilia magazeti kwa kujiweka up to date na haya ya MUHIMU SANAAAAAAA!.