Wadau nisaidieni dawa ya harufu mbaya kikwapa

dobolo

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
47
Reaction score
8
Naomba mchango wa mawazo kutoka kwenu wadau,tofauti na hizi deodorant,dawa gani ambayo inaweza tibu kabisa tatito hili,

Nawasilisha.

 
naomba mchango wa mawazo kutoka kwenu wadau,tofauti na hizi deodorant,dawa gani ambayo inaweza tibu kabisa tatito hili, nawasilisha.

Google knows better.........
Nimegoogle nikapata dawa inaitwa Driclor.........
 
Kunywa maji ya kutosha..dawa utamaliza zote tatizo litakuwa palepale
 
naomba mchango wa mawazo kutoka kwenu wadau,tofauti na hizi deodorant,dawa gani ambayo inaweza tibu kabisa tatito hili, nawasilisha.
JINSI YA KUONDOA HARUFU MBAYA KWAPANI



Hakikisha
unaoga kila siku ili kupunguza idadi ya bakteria kwapani kwani husababisha kuweka harufu mbaya kwenye mwili hasa majira ya joto kwa kuwa mara nyingi joto ndilo

husababisha jasho na harufu kwapani hivyo unahitaji kuoga mara mbili kila siku, unaweza kutumia sabuni au anti-bacterial na maji ya moto.


Safisha nguo katika maji ya moto na sabuni ya kuondoa uchafu na mafuta, vaa mashati safi. Inapendekeza kuvaa mavazi yenye nyuzi za asili, kama vile pamba na hariri ili kusaidia
kunyonya unyevunyevu na kuruhusu ngozi kupumua.


Wakati unafanya mazoezi, tumia nguo zenye vitambaa ambavyo vitanyonya unyevunyevu kwapani ili kuzuia harufu mbaya.

Vinega ‘siki’ na mafuta ya chai ‘ tea tree oil’

Apple cider siki na vinega nyeupe, hupunguza harufu kwapani. Ili kukabiliana na harufu, loweka pamba katika vinega, paka kwenye makwapa badala ya deodorant. Mbali na tiba hiyo, tumia tea tree oil, inaweza pia kuwa na manufaa kwa sababu ni anti-bacterial.


Limao

Kata limao au ndimu nusu kwa kisu. Paka kipande cha limao ulichokata kwenye kwapa lako na hakikisha unalisugua mpaka litoe maji yake. Weka kwapa lako lipate hewa ili hiyo juice ya limao uliyopaka ikauke.

Asidi citric katika maji ya limao inasaidia kutoa tezi ya jasho hivyo kuondoa harufu.
Makala hii ni kwa msaada wa Bongo urembo, wiki ijayo nitajibu maswali yenu yote, asanteni kwa kunisoma.
 

Attachments

  • jinsi.jpg
    103.6 KB · Views: 626
naomba mchango wa mawazo kutoka kwenu wadau,tofauti na hizi deodorant,dawa gani ambayo inaweza tibu kabisa tatito hili, nawasilisha.

dobolo simple way inayofanya kazi faster,oga vizuri two times per day then nyoa vinyweleo vya kwenyekwapa kabisa kwapa liwe upara then jisugulie ukoko wa ugali kwenye kwapa,baada ya kushave ukiwa bafuni jisugulie ukoko wa ugali then oga vizuri na sabuni yako ya kawaida,just two days kikwapa kinakata kabisa,just do it then utaniambia.usipende kukaa na nywele kwapani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…