Wadau nisaidieni kuchagua jina la project kati ya majina haya

Wadau nisaidieni kuchagua jina la project kati ya majina haya

Medo

Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
19
Reaction score
1
1.Funguka Project
2.Mabadiliko Project
3.Tunaweza Project
4. Mshike Mwenzako Project
5.Tumebadilika Project

Nakalibisha mawazo yenu wanajukwaa
 
Kwa upande wangu ningekuwa ktk wkt mzur zaid kukuchagulia Jina kama ningejua japo kidogo tu aina ya project unayofikiria kufanya. Ht hivyo namba 1
 
kusaidia vijana kujiendeleza kwa fani mbalimbali ili waweze kujipatia kipato
 
Yote sikuyapenda.

Ila nakushauri tumia jina hili.

Mwenyewe utaweza.

Hii ni kwa sababu watatumia mawazo yao kujikwua kupitia usaidizi wako.
 
tunaweza, ina kiashiria cha kujiamini ndani yake
 
Yote sikuyapenda.

Ila nakushauri tumia jina hili.

Mwenyewe utaweza.

Hii ni kwa sababu watatumia mawazo yao kujikwua kupitia usaidizi wako.
hakuna anaeweza mweenyewe, tuache uongo
 
Fanya liwe piga hatua project hii ni jina linalojumuisha majina yote hapo juu
 
Hongera kwa fikra pevu ndugu yangu,"TWAWEZA" naona litafaa kwa project yako.MUNGU akutangulie.
 
kusaidia vijana kujiendeleza kwa fani mbalimbali ili waweze kujipatia kipato

Tumia FUNGUKA, TUNAWEZA linafanana na "TWAWEZA" (ile taasisi iliyosema ccm inapendwa sana). ila mambo ya project ondoa, just call it Funguka.

FUNGUKA ina tafsiri ya kujiongeza, think out of the box, jitume nk. hili naona linafaa na pia liko kipekee.

good luck.
 
lengo nikusaidia vijana kujikamua na umsikini uliokithili pamoja na tatizo la ajira
 
Twaweza ni project ambayo tayari ipo chini ya plan internatuonal if not mistaken. Kwa mawazo yangu sidhani kama utaweza kujitofautisha nao utamezwa tu.
 
Twaweza ni project ambayo tayari ipo chini ya plan internatuonal if not mistaken. Kwa mawazo yangu sidhani kama utaweza kujitofautisha nao utamezwa tu.

Nashukuru kwa maoni yenu mazuri, hapo juu nimeandika TUNAWEZA na si Twaweza
 
Tumeamka project,
tambuka project
tuamshe project
weza project
 
bado cjayapenda yote sijui kwanini. Wadau piteni huku tupate jina lenye mvuto
 
Back
Top Bottom