Naona kama ni "genge la watafuta posho" tu walio tayari kupigia debe jambo lolote hata wasilofahamu matokeao yake kwa taifa mradi ti "posho" ziingie kwenye account zao.
Rais hakumaanisha wananchi wapate katiba bora. Ndiyo maana hata ukiangalia uteuzi wake unaona kuna hila ndani mwake. Unaomwona Kingunge na wengineo wakiingia tokea kwenye NGOs. Imani yangu nikwamba kama ameweka hila basi huwezi pata good results.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.