Wadau nisaidieni niweze kufahamu ni upi wakati muafaka.

Wadau nisaidieni niweze kufahamu ni upi wakati muafaka.

Mr Mr

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
34
Reaction score
8
jamani habari za leo. kuna kitu kinanichanganya naomba mnisaidie. hivi kwa mwanamke ni upi wakati ambao ni muafaka kwa kupata ujauzito? je siku kadhaa kabla ya kuwa kwenye siku zake yani mp au ni siku kadhaa baada ya kutoka kwenye hicho kipindi cha mp? na dalili za kuonyesha mwanamke yupo tayari kupata ujauzito ni zipi?
 
Kuna uzi hapo juu unazungumzia hayo mambo, usione shida, ingia uusome, wadai wamechangia vizuri sana ndio maana umekuwa stiky thread.
 
Back
Top Bottom