Elections 2010 Wadau niwekeni wazi lemeli kwenda kugomea jimo jipya imekula kwake au ni tetesi?

Gokona

Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
62
Reaction score
9
wadau mimi nipo kahama na ni mwanajamii sasa nataka kupata uhakika hili jimbo analogombea lembeli lipo au wamemfanyia usanii wamtosee? hebu wenye taarifa na sio tetesi watuweke wazi maana haya yana maslahi na taifa.natia nia katika hili naomba majibu wahusika.
 
Mkuu, taarifa ya uhakika ni kwamba wote waliokuwa wanagombea ktk jimb jipya lililofutwa wanahamia kugombea jimbo la Kahama, automatically ..... hivyo mpiganaji James Lembeli bado yumo.
 
Back
Top Bottom