wadau mimi nipo kahama na ni mwanajamii sasa nataka kupata uhakika hili jimbo analogombea lembeli lipo au wamemfanyia usanii wamtosee? hebu wenye taarifa na sio tetesi watuweke wazi maana haya yana maslahi na taifa.natia nia katika hili naomba majibu wahusika.