Wadau sensa ni shilingi ngapi?

lukme

Senior Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
191
Reaction score
24
habari za kutwa. Mbeya Rungwe 32000 per day baada ya kutoa 3000 chakula. je kwa waliopata sehemu zingine ni kiasi gani? naomba jibu wadau kwan tetesi ni nyingi sana
 
Hivi wewe unaenda kufanya kazi au kuchukua pesa?acheni tamaa za pesa hizo, ndiyo maana mnakuwa wezi baadaye mkikabidhiwa ofisi
 
elfu 32000 kwa siku bado unaonekana kutokuridhika? kweli wezi hawatakwisha
 
Jaman na nyie ameulza na ana hak ya kujbiwa we kama unajua mpe info mana wengne waweza lpwa juu ama chn afu iliwe juu kwa juu naomba funguken mlio na taarfa
 
:flypig: 32500 per day na chakula 25000 wengne,kwa dodoso ndefu cjui fupi wanalipwaji maana cc ndo tuambiwa leo kwenye semina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…