Wadau: Shamba linauzwa Mlandizi 1.2Mil kwa Heka

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,199
Reaction score
13,029
Lipo Mlandizi Kijiji cha Kikongo, Km 55 kutokea ubungo, Km saba za Rough Road kutoka Mlandizi - Morogoro Road.
Lipo pembezoni mwa Barabara inayoelekea Stesheni ya Mzenga (Mzinga?) Kisarawe. Barabara ni nzuri sana na iko kwenye mkakati wa kuwekwa Lami.

Ni eneo la Hekari kumi. Ila anauza hata hekari moja moja. Nimepewa hizi Taarifa na Mzee mwenyeji wangu huko, hivyo naweza kukuunganisha naye kama uko interested.

Jirani na eneo hilo kuna Mradi wa Ujenzi wa Chuo kikuu cha Theofilo Kisanji. Pia wadau wengi kule wanaendesha ufugaji wa Kisasa wa Kuku, Nguruwe, Samaki n.k... Pia kilimo cha mazao mbalimbali kama Maembe, Mihogo, Mananasi n.k.

Ni eneo zuri na panakuwa kwa kasi sana.

Tuwasiliane Pm kwa mawasiliano.

Mapendo.
 
Ninauza shmba ekari 50 kijiji cha Zegero, Kisarawe ni 35 km kutoka Mlandizi. Bei sawa na bure. 0715 203386.
 
Safi sana hakuna alieyewahi kupoteza katika shamba kama unaweza nunueni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…