Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Weka picha unataka kutuuzia mbuzi kwenye guniaHabari za majukumu wadau nauza gari aina ya vitz
1. Year 2001
2. CC 1290
3. 123,000 kilometers
4. Model No. TA-NCP1O
Kwa mwenye kuhitaji tafadhali ani pm
Mbona nimeweka kiongoziWeka picha unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia
Brooh huna macho?Weka picha unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia
Brooh huna macho?
Nunua basi dingimtoto , ushakua dingiri usafiri muhimuAlikua hajaweka mwanzo
Nunua basi dingimtoto , ushakua dingiri usafiri muhimu