A
Anonymous
Guest
Natoa angalizo kuhusu kikokotoo kati 35% na 40%
Kuna uwezekano mkubwa wastaafu wanaliwa vichwa: Mwajili (HR) anakupigia mahesabu ya kikokotoo cha 40%, kule PSSSF wanakupa staili ya 35%
Huu mfuko ni muunganiko wa mifuko 4 ambayo ni hii ifuatayo:
TUCTA, TUICO na wadau wengine tafadhali fuatilieni, kuna namna ya upigaji hapa.
“Retirement is a new beginning, not a curse.”

- LAPF (Local Authorities Pensions Fund)
- PSPF (Public Service Pensions Fund)
- GEPF (Government Employees Provident Fund)
- PPF (Parastatal Pensions Fund)