Wakimataifa1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 326
- 100
kuna habari zisizo rasmi mashindano ya kombe la africa mashariki liloisha hivi karibu kuwa eti azamfc ilitoa mchango wa siri kwa musonye na tff shs milioni 300 ipate upendeleo wa kuchukua ubingwa je ni kweli mm naona azam alishinda kwa uwezo wake