W Wakimataifa1 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 326 Reaction score 100 Aug 18, 2015 #1 kuna habari zisizo rasmi mashindano ya kombe la africa mashariki liloisha hivi karibu kuwa eti azamfc ilitoa mchango wa siri kwa musonye na tff shs milioni 300 ipate upendeleo wa kuchukua ubingwa je ni kweli mm naona azam alishinda kwa uwezo wake
kuna habari zisizo rasmi mashindano ya kombe la africa mashariki liloisha hivi karibu kuwa eti azamfc ilitoa mchango wa siri kwa musonye na tff shs milioni 300 ipate upendeleo wa kuchukua ubingwa je ni kweli mm naona azam alishinda kwa uwezo wake
Kifai JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 816 Reaction score 173 Aug 18, 2015 #2 Kamuulize bakhresa