Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mi nakumbuka siku ile tumeenda canteen kwenye buffet sausage zikawa zimeisha. Wamebaki wanafunzi wawili hawajapata sausage na yule msimamizi wa chakula Mr. Shivj Hindurana anawashawishi wachukue cake. Wakagoma na kuanza kulia kuwa wamenyanyaswa.
Wadau Tuliosoma Internationa School of Tanganyika tupo?