Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huku shwali tu sijui nyie huko Bongo. Mambo yanaendaje?Marekani wanasemaje mkuu!
Maisha hayako hivyo uwa tunapishana mara nyingi watoto wa Masaki wanakuja kupanga Kinondoni na wa uswahilini wanaenda kuishi Masaki. Wakishua wanakuja kuajiriwa na wale waliosoma uswazi na wauswazi wanawaajiri wakishua.Vip mliendelea kusoma International University?
Vip kazi nazo mliendelea kupata na kufanya international Organization au mmeshajiari na sasa ni Ma CEO kwenye kampuni zenu?
Wakishua gani ambaye ameajiriwa na wa uswazi bruhMaisha hayako hivyo uwa tunapishana mara nyingi watoto wa Masaki wanakuja kupanga Kinondoni na wa uswahilini wanaenda kuishi Masaki. Wakishua wanakuja kuajiriwa na wale waliosoma uswazi na wauswazi wanawaajiri wakishua.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
View attachment 2370467
Mi nakumbuka siku ile tumeenda canteen kwenye buffet sausage zikawa zimeisha. Wamebaki wanafunzi wawili hawajapata sausage na yule msimamizi wa chakula Mr. Shivj Hindurana anawashawishi wachukue cake. Wakagoma na kuanza kulia kuwa wamenyanyaswa.
Wadau Tuliosoma Internationa School of Tanganyika tupo?
Pale hatuna chekechea . Kuna NurseryChekechea Ada million 34