Leo najivinjari tu maeneo ya Tabata. Nlianzia 40/40,nikahamia MICASA, nmesogea THE GREAT then ntafika
Wandugu mliopo TABATA kama upo maeneo haya tuwasiliane please tugonganishe. Nataka nivifaham viwanja vyooooote vya huku.
Kuna sehemu nasikia wanaita kwa mzungu unapita segerea unaenda mbele. Nasikia ni kuzuri sana.sijapata mwenyeji wa kunipeleka hiyo sehemu.