Wadau tusaidiane maarifa hapa

Wadau tusaidiane maarifa hapa

manuk

Member
Joined
Dec 22, 2017
Posts
19
Reaction score
35
Nimekuwa nakutana na sentensi hizi kwenye uandishi wa watu na huwa zinanipa wakati mgumu kujua kama ni sahihi pale mwandishi anapotaka kuelezea
wingi wa MPANGO MKAKATI.
-MIPANGO MIKAKATI
-MIPANGO MKAKATI
-MPANGO MIKAKATI
-MIPANGO NA MIKAKATI.
Je ipi ni sahihi kuelezea wingi wa sentensi "Mpango mkakati"?
 
Back
Top Bottom