mabumbe
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 298
- 40
Heshima zenu wakuu,,,
Mimi nimeomba mkopo wa 3ML nikiwa serious na nia dhati kabisa (bado nauhitaji lakn), Pia nkasema kwa yeyote anayehitaji machine ya aina yeyote ile anitafute lakn watu hawako serious wananijoke, wanidharau, wananikatisha tamaa na wngine hadi matusi kabsa,,, kwa nin hivi lakn???Naamin M2 anayeingia JF ni Mwenye upeo, Uelewa na Elimu,, Jaman tuwen serious wadau tukiitumia vizuri JF itatukomboa,, Wadau mimi kwenye Machine natafuta wateja na kuwapeleka ofisi husika,,, sasa tatizo liko wapi??? kipato changu bado hakitoshelezi ndo mana naomba mkopo kwa walala hoi wezangu wenye uwezo kiasi...