Wadau, twendeni Egypt tukai-support Taifa Stars

Hongera mleta mada kwa uzalendo mimi nilikuwa nawafikiria wasioenda kuwekewa utaratibu wa kuangalia mechi kwenye open spaces na kuonesha support yao.
Yaani Taifa Stars Fans@Home ili wachezaji wajue kuna support kubwa....
Lengo la kwanza ni kumfunga senegali tunawaweza kabisa
 
Vipi kwa Usafiri wa Bus gharama zikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu na katika hili TFF na Serikali kiujumla wawe makini, hili ni suala la kitaifa
 
Kwa gharama hiyo si ninaweka vitofali kwenye ardhi ndani ya ukuta nyumbani ili majitani waje niwatolee skin nje tushabikie mpaka basi ili nijenge ujirani mwema!!!!
 
Kwa gharama hiyo si ninaweka vitofali kwenye ardhi ndani ya ukuta nyumbani ili majitani waje niwatolee skin nje tushabikie mpaka basi ili nijenge ujirani mwema!!!!
Halafu sasa nani aende kuishangilia stars??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…