Wadau ushauri

Point thanks kwa Sasa nimesharecover in a such way siwez jiumiza tena, ila jamani hakuna kitu kibaya Dunian Kama kuachwa utataman aliekuacha bora Mungu angemchukua ungejua umempoteza kwa staili hiyo ambayo huna namna yoyote ya kuwa nae utakumbuka utajiliwaza bas utakuwa na nguv haraka ya kutafut hata mwingine lakin kuachwa na mtu halafu bado mawasiliano yanakuwepo mpaka ukaze moyo Sana halafu point kubwa Sana ni kuhama kwenye eneo husika. Mm nilipokuwa eneo husika kila unachokiona unamkumbuka mwenzio, mlivyokuwa mnacheka, akipokuwa anakaa mpaka mlivyokuwa mnalala, leo unalala pekeyako.
 
Stay strong brother.

Kwasasa focus na maendeleo na maisha yako, mtangulize Mungu, wanawake wako wengi duniani, usiwaze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…