Wadau vipi hapo nimechemka?

Fmruma

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
498
Reaction score
783
Nimevuta huyo mnyama Mark x Zio ...wenye uzoefu vipi mnyama hana usumbufu (2Az engine ,cc2360
 
Manufacturer mwaka gani??

Hata Mimi nimeipenda hiyo gari alafu IPO juu juu kifamilia zaidi..

Ukifanya service Kwa wakati na kuitunza vizuri hapo haina shida zile dhana za kusema gari imara kama treni haipo, kitu kikubwa Kwenye umiliki wa Magari ni utunzaji tu
 
Nakubaliana na wewe, matunzo ni kitu muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…