Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,183
- 2,100
unajua Karamagi alishawahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kagera??Ngoja majizi chadema waje
Chadema walikula pesa zake hadi basiunajua Karamagi alishawahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kagera??
kabisa!!Chadema walikula pesa zake hadi basi
Pesa za Lowasa na Karamagi na Sumaye Chadema walizira hasa bila huruma
Sikio la kufa halisikii dawaWADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya bandari.
Kusuasua kwa Kampuni hiyo kumeongeza gharama ya kuingiza mizigo nchini na kulikosesha Taifa mapato kutokana na wafanyabiashara wa nchi jirani kuamua kuikwepa bandari ya Dar es Salaam na kukimbilia bandari za Kenya, Afrika Kusini na Namibia zenye ufanisi zaidi.
Chama wa Mawakala wa Forodha (TAFFA) kimelalamika mara kadhaa kuhusu TICTS kuwa na ufanisi mdogo na kusababisha ucheleweshaji wa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam.
Wabia wa TICTS ni pamoja na waziri wa zamani Nazir Karamagi na mfanyabiashara maarufu Yogesh Manek, wakishirikiana na mwekezaji wa nje, kampuni ya Hutchinson Ports ya Hong Kong.
Taarifa kutoka bandarini zinaonesha kuwa TICTS walipewa nyongeza ya mkataba wa miaka mitano mwaka 2017 baada ya kushindwa kuleta ufanisi tangu wapewe kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Chanzo: Nipashe
Wapewe UVCCM .....WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya bandari.
Kusuasua kwa Kampuni hiyo kumeongeza gharama ya kuingiza mizigo nchini na kulikosesha Taifa mapato kutokana na wafanyabiashara wa nchi jirani kuamua kuikwepa bandari ya Dar es Salaam na kukimbilia bandari za Kenya, Afrika Kusini na Namibia zenye ufanisi zaidi.
Chama wa Mawakala wa Forodha (TAFFA) kimelalamika mara kadhaa kuhusu TICTS kuwa na ufanisi mdogo na kusababisha ucheleweshaji wa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam.
Wabia wa TICTS ni pamoja na waziri wa zamani Nazir Karamagi na mfanyabiashara maarufu Yogesh Manek, wakishirikiana na mwekezaji wa nje, kampuni ya Hutchinson Ports ya Hong Kong.
Taarifa kutoka bandarini zinaonesha kuwa TICTS walipewa nyongeza ya mkataba wa miaka mitano mwaka 2017 baada ya kushindwa kuleta ufanisi tangu wapewe kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Chanzo: Nipashe
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]unajua Karamagi alishawahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kagera??
Hasara waliyoipata Wazazi wako haipimiki , Ipo haja ya kuruhusu utoaji wa mimba ili kuepusha wazazi na aibu kama wanayoipata Wazazi wa huyu kapukuNgoja majizi chadema waje
Container terminal wapewe DP kampuni ya dubai inaendesha bandari nyingi za ulaya kwa ufanisi mkubwa sidhani itaishindwa bandari yetuWADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya bandari.