Wadau wa burudani na uandaaji wa matamasha ya burudani

Joined
Jul 17, 2016
Posts
46
Reaction score
62
Habari za sasa hivi wanajamvi poleni na majukumu ,mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya mafanikio na wanasema mafanikio hutokana na jinsi ambavyo tutamia fursa ,mimi kwa upande wangu ni mwanafunzi wa shahada ya uchumi, ninatamani kuingia kwenye maswala ya burudani na kuandaa tamasha naomba msaada wa yeyote mwenye ufahamu wa mambo haya tusaidiane wapi pa kuanzia
#serious threat
Karibuni wadau
 
Njoo PM...
 
Back
Top Bottom