JustineKitenge2016
Member
- Jul 17, 2016
- 46
- 62
Njoo PM...Habari za sasa hivi wanajamvi poleni na majukumu ,mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya mafanikio na wanasema mafanikio hutokana na jinsi ambavyo tutamia fursa ,mimi kwa upande wangu ni mwanafunzi wa shahada ya uchumi, ninatamani kuingia kwenye maswala ya burudani na kuandaa tamasha naomba msaada wa yeyote mwenye ufahamu wa mambo haya tusaidiane wapi pa kuanzia
#serious threat
Karibuni wadau
Nipo tuchekiane tunaweza kuyajenga tuchekiane pm kwa mawasiliano zaidi[/QUOT
poa poa bro