Wadau wa Business, Chuo gani bora kati ya IAA na TIA?

Wadau wa Business, Chuo gani bora kati ya IAA na TIA?

Johnyy

Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
93
Reaction score
39
Wana JF vipi,

Chuo gani bora kozi ya Accounts & Finance kati ya TIA na IAA (Arusha).

Napata shida kuchagua. Maoni yenu yanahitajika.
 
Nakushauri (kama nitakavyomshauri yeyote yule anaehitaji kusoma practical accounting na apate appropriate education) fikiria kusoma kozi zinazotolewa na international professional bodies (ACCA, CIMA etc). Hutajuta.

Mtu akitaka kuthibitisha utofauti kati ya elimu yetu na za wanaojua maana ya elimu namuomba aangalie maswali na material kwenye website hii:
Astranti: Online CIMA Courses and Study Materials

(halafu alinganishe na maswali na material kutoka chuo chochote cha hapa nchini).
 
Wana JF vipi,

Chuo gani bora kozi ya Accounts & Finance kati ya TIA na IAA (Arusha).

Napata shida kuchagua. Maoni yenu yanahitajika.
Njoo IAA ila sa ivi kimekuwa cha moto, natumaini we ni march intake diploma au certificate
 
Back
Top Bottom