Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Kwa wadau waliopita dakawa high school, enzi za Mr. Kijame na Igosha...kwa kweli ilikuwa half university na performance ilitisha. Mzee Ndiva, Seimu, Madam na wengineo tukumbushane wadau...viva dakawa.