Wadau wa elimu hii imekaaje

Wadau wa elimu hii imekaaje

AHAKU

Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
26
Reaction score
1
Mnaweza kuutafakari vipi msemo ufuatao kama ulivyotundikwa katika website ya www.us.camfed.org

"When you educate a girl in Africa, everything changes. She’ll be three times less likely to get HIV/AIDS, earn 25 percent more income and have a smaller, healthier family"
 
Msemo huu Uko bado valid sana, actually as times move ahead unazidi kupata nguvu!!
We anza na hawa wanawake tulio nao hapa JF, unadhani ni kiasi gani wako aware na masuala ya afya?...HIV? na issues nyingine za kisosholojia?...Jibu ni kwamba wana uelewa mpana, ambapo atakayepuuza ni kwa hasara na kupenda kwake mwenyewe!
 
We anza na hawa wanawake tulio nao hapa JF, unadhani ni kiasi gani wako aware na masuala ya afya?...HIV? na issues nyingine za kisosholojia?
wakikusikia ohooo!
 
Back
Top Bottom