Msemo huu Uko bado valid sana, actually as times move ahead unazidi kupata nguvu!!
We anza na hawa wanawake tulio nao hapa JF, unadhani ni kiasi gani wako aware na masuala ya afya?...HIV? na issues nyingine za kisosholojia?...Jibu ni kwamba wana uelewa mpana, ambapo atakayepuuza ni kwa hasara na kupenda kwake mwenyewe!