Wadau wa elimu popote mlipo nipo katika mchakato wa kutafuta shule kwajili ya kidato cha 5 na cha 6 kwa mwaka 2012,kutokana ufinyu wa fedha ninatafuta shule yenye gharama nafuu popote pale katika mikoa niliyotaja (private school)day and boarding school.
Hivyo kama wewe ni mkuu wa chuo ama unaufahamu wowte kuhusu hili tafadhali nifahamishe bila utani wowote.
Vilevile kwa atakaye kuwa na details zozote kuhusu shule yenye gharama nafuu kwa O level piaanisaidie.
Aksanteni.