Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Asalaam Aleykum,
Naona Tamisemi walishaweka form za SelForm katika tovuti yao, hivo kama mdau wa elimu(mhadhiri, mkufunzi, mwalimu na mwanafunzi n.k)
Karibuni tutoe ushauri juu ya namna ya kufanya ili watoto na vijana wetu wapate miongozo iliyo karibu na usahihi.