Wadau wa elimu tusisahaulishwe ubaya wa matokeo ya kidato cha nne 2012

Kimbojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2009
Posts
387
Reaction score
54
Wadau wote na wapenda maendeleo (elimu ) nchini kwetu, tusisahaulishwe ubovu wa matokeo ya kidato cha nne 2012 nia issue iliyoibuliwa/sukwa ya ugaidi wa Lwakatare na mwenzake. Imekuwa ni kawaida sasa likitokea jambo zito kwa TZ linazushwa lingine ili kufunika lililozito zaidi. Tuendelee kujadilijadili kidogo hata kama tume imeundwa mijadala isiishe.ilikuwa ni kukumbusha tu.
 
sasa wasipofeli kunashule ngap za advance,i think serkal inahusika 100%,yaani mwanafnz asome miak minne asiambulie hata D mbil hat kiswhl?,
 

ili kusonga mbele, huna budi kusahau yaliyopita.
 
sasa wasipofeli kunashule ngap za advance,i think serkal inahusika 100%,yaani mwanafnz asome miak minne asiambulie hata D mbil hat kiswhl?,

issue inakuja kuwa wenzake waliosoma shule moja na darasa moja anapa daraja A.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…