Wadau wa Football: Hapa ni Goal au Sio Goal?

Hamna goli kwakuwa mstari unatakiwa uwe sambamba ya goal-post. Hivyo mstari ungekuwa sambamba na post basi mpira ungekuwa juu ya mstari.

Huo mstari haujachorwa kwa usahihi.
 
Huyo aliyechora huo mstari alikuwa amekunywa K-Vant bila shaka.

Kimsingi hilo ni goli. Maana mpira wote umevuka mstari wote. Ila lingekuwa siyo goli halali kama mstari ungechorwa kwa usahihi.
 
Sio goli

Mpira unatakiwa uvuke mstari na goal post
 
Ni goli maana hicho kiwanja kilifanyiwa ukaguzi na kukidhi viwango vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…