Wadau wa habari wamemshauri Sam Mahela apunguze kuvaa suti za kung'aa

Pia mwambie bwana yule wa magogoni apunguze kuvaa mi suti mikubwa mikubwa over size [emoji1] [emoji1]
Alafu hili linamuhusu na Mgombea wa mkopo wa CDM, yaani akivaa kaunda kama kaazima kwa Kangi Lugola
 
Aaaah jamani watu mna maneno khaa!! Sasa mnanichokoza warumi nimwage ubuyu kuhusu jamaa, na mnajua fika mie umbea nimeacha naona mnanibeep
Hehee unalo bibi wee...nani asiejua jamaa na Harris lao moja hehehe mjini kutamuu
 
Acheni mambo ya kufatilia watu,kila mtu na maisha yake,pia cha muhimu ni kazi yake anaifikisha vipi kwa jamii...ila swala la mavazi personality na vingine si muhimu,acheni kukurupuka..wake up you dumb'
 
Dah ni kweli hata sredi zisizokuhusu na za kimbea haina haja ya kuzichangia
Acheni mambo ya kufatilia watu,kila mtu na maisha yake,pia cha muhimu ni kazi yake anaifikisha vipi kwa jamii...ila swala la mavazi personality na vingine si muhimu,acheni kukurupuka..wake up you dumb'
 
Pia aache kujichubua hebu angalia mikono/vidole kwa makini then linganisha na uso.
 
miongoni mwa wachache ambao Magu hajawaona wacha avae aonekenane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…