Wadau wa jf msaada wenu

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
13,628
Reaction score
20,992
Wana UDSM mnisaidie hv INDUSTRIAL ENGINEERING iko poa ? Na ajira zake vp? Msaada wenu wakubwa!
 
Google utapata majibu yote. Ajira ni matokeo ya factors nyingi.
 
Iko poa poa sana hiyo kitu...utatafutwa hata kabla hujagraduate
 
ni zuri mkubwa, wellcome kwenye kitivo cha wahandisi,,,,,,,,ila kaza man and everything is going to be okey,,,,waweza nibeba?....nipigie simu engineer mwezako nipo mwaka wa pili chemical and prcssn eng. 0719380994
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…