Wadau wa JF, niulize Chochote Kuhusu Shule ya Sekondari ya Jitegemee enzi za Mwalimu Masawe, Kipingu & Kichonge

Wadau wa JF, niulize Chochote Kuhusu Shule ya Sekondari ya Jitegemee enzi za Mwalimu Masawe, Kipingu & Kichonge

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu

Wadau wa JF, niulize Chochote Kuhusu Shule ya Sekondari Ya Jitegemee Enzi za Mwalimu Masawe, Kipingu & Kichonge

Mnakaribishwa kwa maswali
 
Nilimakiza 1995
Haya niamkie mimi mwalimu wako....
swali la pili haujalijibu la Millinga

Kwa hiyo unamkumbuka Wandwe na kamanda Tall?

Waalimu waliokufundisha na wametangulia mbele za haki nakutajia kuanzia
  1. Mbonabucha
  2. Mama Lyimo,
  3. Mrimi Mnandi,
  4. endelea......
 
Mwalimu Major Ngajua
Mwalimu Kichonge
Mwalimu Nde de

Haya niamkie mimi mwalimu wako....
swali la pili haujalijibu la Millinga

Kwa hiyo unamkumbuka Wandwe na kamanda Tall?

Waalimu waliokufundisha na wametangulia mbele za haki nakutajia kuanzia
  1. Mbonabucha
  2. Mama Lyimo,
  3. Mrimi Mnandi,
  4. endelea......
 
Afande Bruno alikuwa miyeyusho sana kuna siku tunaangalia mpira wanafunzi wa hostel na maafande kibao pamoja na Head Master Massawe sasa bruno akawa anamuuliza masawe... Eti mkuu wewe unashangilia timu gani masawe akajibu nashangilia Arsenal basi Bruno akajibu namm nashangilia hiyohyo mkuu..😁 😁😁 asee watu walicheka kinoma hyo ni miaka y a 2000 noma sana
 
Mkitaka kuhusu Kumaliga, Mloki,Babu Ndii, Arando mniulize 😀
 
Back
Top Bottom