Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ulimaliza mwaka gani?Husikeni na kichwa cha habari hapo juu
Mnakaribishwa kwa maswali
Ulimaliza mwaka gani?
Unamkumbuka yule kiranja Millinga?
Kulikuwa na mademu wawili wakali kichiz Anastasia Adamson na Truphena Wolfgang, hivi wako wapi siku hizi?Mhesh Moderator tafadhali usiunge uzi huu
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu
Mnakaribishwa kwa maswali
nosense!!!Mhesh Moderator tafadhali usiunge uzi huu
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu
Mnakaribishwa kwa maswali
Haya niamkie mimi mwalimu wako....Nilimakiza 1995
Haya niamkie mimi mwalimu wako....
swali la pili haujalijibu la Millinga
Kwa hiyo unamkumbuka Wandwe na kamanda Tall?
Waalimu waliokufundisha na wametangulia mbele za haki nakutajia kuanzia
- Mbonabucha
- Mama Lyimo,
- Mrimi Mnandi,
- endelea......