Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Salaam Wana JF.
Uzi huu naomba wote wanaohusika na Kutengeneza Sabuni za aina zote,Kwa Kiwango kidogo,cha Kati na Kikubwa Tukutane Kupeana Maarifa,Taarifa,Ujuzi na uzoefu.Aidha wale wanaouza malighafi,vifungashio na hata Wauzaji wa jumla na reje reja ruksa pia.Kwa Wadau napenda tupeane uzoefu na Changamoto.Lengo tujifunze Kwa Nia ya kuboresha biashara hii ya Sabuni za Maji,za unga,za Miche NK.Pia wale wanaotengeneza na Kuuza mashine za Sàbuni karibuni.Nawatambua SIDO,wataalam kama Mtanga Polymachinery Katika Tasnia hii,bila kuwasahau TBS,TRA na Mamlaka zinginezo Katika Nchi.Najiandaa Kufunga Mashine ndogo Katika moja ya Mikoa punde.Naamini Kupitia hapa tutapata màarifa na Taarifa Zaidi.Mafuta yako na bei gani ulipo?
Sabuni zipo na bei gani ulipo?Karibuni