Wadau wa Logistics mnaofanya Local safaris na Transit

Wadau wa Logistics mnaofanya Local safaris na Transit

Wadau wote mnaohusika na hilo eneo hasa wenye Co. na magari ningefurahi tushirikiane. Nina kazi zinazohitaji matumizi ya hayo magari.

Kwa mahojiano zaidi naomba check dm
Ukihitaji clearing agent mpaka wa kasumulu-malawi na tunduma-zambia ncheki
 
Transport commission agent nipo mkuu. Nakuja DM
Wadau wote mnaohusika na hilo eneo hasa wenye Co. na magari ningefurahi tushirikiane. Nina kazi zinazohitaji matumizi ya hayo magari.

Kwa mahojiano zaidi naomba check DM
 
Ina maana wadau hamko kabisa hata dalali wa malori
 
Ina maana wadau hamko kabisa hata dalali wa malori
Wachek hao jamaa
Ila usinisahau pesa ya game

Ova
Screenshot_20220716-161051_Phone.jpg
 
Back
Top Bottom