Tetesi: Wadau wa manunuzi mtandaoni

Tetesi: Wadau wa manunuzi mtandaoni

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari Wakuu
Nimekua nikifatilia kuhusu hili jambo kwa karibu wiki sasa na nimeadhimia kujiunga kupitia bank ya Equity kesho,Lakini kiukweli moja ya vitu vilivyonitisha ni kuwa Posta zetu ni wezi sana wa mizigo inayoletwa.
JE HILI SWALA LINA UKWELI NDANI YAKE KWA ASILIMIA NGAPI?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom