Wadau wa mapishi nijuzeni hivi viungo vinatumikaje...

Wadau wa mapishi nijuzeni hivi viungo vinatumikaje...

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,914
Mapishi ni ufundi unaokua kila kukicha ila wengi wetu tunachemsha hasa kwenye swala la kufanya msosi uwe na ladha murua na kapendeza...
Ningependa hasa nijue hivi viungo vinatumika kwenye vyakula gani na vitumike muda gani wkt wa mapishi kufanya chakula kiwe kitamu.
1. Ajina moto
2. Curry powder
3. Soy sauce
4. Tomato paste
5. Cumin seed
Nitaendelea kuleta vingine kwa kadri ya mahitaji, wadau mkuje mtupe darasa...
CC.. farkhina Mshana Jr Evelyn Salt espy FaizaFoxy culture gal Nyani Ngabu
 
2)curry powder inapendeza kwenye mchuzi.

3)soy sauce kwa kuroekea nyama /kuku kama vile mishkaki.

4)tomato paste inapendeza kwenye mchuzi roast kuongezea uzito Na rangi pia.

5)Cummin seeds inatumika kwenye supu,pilau,mishkaki ndio yenyewe,katlesi Na vyengineo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom