M masoudmwevi Member Joined Aug 5, 2008 Posts 53 Reaction score 2 Sep 16, 2011 #1 Waalim wa math's primary,sec,vyuo wamekutana mkoan Iringa kujaribu kubun mbinu za kuwafanya vijana wapende Hesabu
Waalim wa math's primary,sec,vyuo wamekutana mkoan Iringa kujaribu kubun mbinu za kuwafanya vijana wapende Hesabu
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,045 Reaction score 5,108 Sep 16, 2011 #2 Per diem tu, hamna lolote
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Sep 16, 2011 #3 Nyakageni said: Per diem tu, hamna lolote Click to expand... umenena mkuu ni mbinu ya kutafutiana ulaji tu................sidhani ka watakuja na kitu kipya
Nyakageni said: Per diem tu, hamna lolote Click to expand... umenena mkuu ni mbinu ya kutafutiana ulaji tu................sidhani ka watakuja na kitu kipya
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Sep 16, 2011 #4 Me nlidhan hata wamegundua formular flan ambayo itakua aplicable ktk maths,kumbe wamekutana 2..hakuna k2 hapo.
Me nlidhan hata wamegundua formular flan ambayo itakua aplicable ktk maths,kumbe wamekutana 2..hakuna k2 hapo.
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Sep 16, 2011 #5 Hakuna watakachofanya hapo. Baadhi yao hata hesabu haipandi, wanababaisha tu.
M masoudmwevi Member Joined Aug 5, 2008 Posts 53 Reaction score 2 Sep 18, 2011 Thread starter #6 hivi kumbe watoto wa shule ya msingi mwaka huu walifanya hisabati kwa majibu ya kuchagu?