Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
RondaHumkubali nani?
Ronda
Yule demu Rhonda anapiga punch mpaka unaskia raha
Atakwambia Alexa bliss au CamellaMkuu embu nitajie wanawake wa 3 unaowakubali ili nione kwanini rhonda humkubali
Mkuu embu nitajie wanawake wa 3 unaowakubali ili nione kwanini rhonda humkubali
Bob hakuna demu yeyote kutoka RAW au SD live anaeweza kumpiga Ronda.... that way anaitwa the BADEST WOMAN ON THE PLANETNinaowakubali kwa urembo ni, Sasha Banks.
Ninaowakubali wanaweza kumpiga Ronda ni Charlote Flair, Asuka, Ember Moon and Becky Lynch
Bob hakuna demu yeyote kutoka RAW au SD live anaeweza kumpiga Ronda.... that way anaitwa the BADEST WOMAN ON THE PLANET
Ninaowakubali kwa urembo ni, Sasha Banks.
Ninaowakubali wanaweza kumpiga Ronda ni Charlote Flair, Asuka, Ember Moon and Becky Lynch
Atakwambia Alexa bliss au Camella
Nani alishinda da ilinipitaIlipigwa October 06
Gemu ilivurugika dizaini fulani hivi. Kwa hiyo Triple H ameungana na Shaun Michaels ili kupambana na Undertaker na mdogo wake Kane.Nani alishinda da ilinipita
Kweli mieleka nimeifatilia hata mm nakiri fake ni nyingi sana. Pia kupanga mshindi yani hyo ndio too much.Chief hapa napingana na wewe kidogo....
Matukio fake yapo mengi sana..
Kwa mfano;
SUICIDE DIVE.. Mara nyingi hii style anayeruka ni lazima adakwe na ni marufuku kumkwepa
REST IN PEACE BY UNDERTAKER..
Hii style inaonyesha kuwa Undertaker anabana kichwa cha mtu then anakibamiza chini but uhalisia ni kuwa kile kichwa huwa hakifiki chini..
Fake Scene zipo nyingi sana mkuu
Achana na mieleka, we baki na mpira wa miguu tuu.. Vitu fake tuache sisi.. Bla bla nyingi bila evedence ni ufalaKweli mieleka nimeifatilia hata mm nakiri fake ni nyingi sana. Pia kupanga mshindi yani hyo ndio too much.
Leukemia ni Ugonjwa gani?Roman kaachia mkanda kwa sababu ya Leukemia....tutammiss sana the Big Dog
Kansa ya damu kiongoziLeukemia ni Ugonjwa gani?
Mbele ni mbele tu...atarudi tuKansa ya damu kiongozi