Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Hivi ile finishing ya finn balor huwa inakuwaje haiui mtu?What is the trick behind?
 
Kweli kuamini mieleka ni mchezo Wa ukweli ni ujuha. Yaani huyu baron cobbin ndo amepoteza nafasi yake kwa maigizo ya namba hii. Mchezo hauna hata sheria? Stuka we kilaza
 
Kweli kuamini mieleka ni mchezo Wa ukweli ni ujuha. Yaani huyu baron cobbin ndo amepoteza nafasi yake kwa maigizo ya namba hii. Mchezo hauna hata sheria? Stuka we kilaza
Lengo lako ni nini?
Afu uwe unamwambia jamaa anakazia mapema kabla hajakesha kutazama hzo burudani

Naona hujui hata mana ya wrestling entertainment
 
Kweli kuamini mieleka ni mchezo Wa ukweli ni ujuha. Yaani huyu baron cobbin ndo amepoteza nafasi yake kwa maigizo ya namba hii. Mchezo hauna hata sheria? Stuka we kilaza
Kaanzishe uzi wako wa wrestling is fake..
 
Ungekuwa siyo kilaza usingekomenti.
Sasa uko humu kwa uzi wa vilaza unafanya nini?!
.yani unaona wote humu hatuna akili,aiseee hebu uliza hata jirani yak hapo nini maana ya BURUDANI kilaza mwenzangu

Afu anzisha uzi wako ili uepukane na vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…