Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Baron corbin baada ya kupewa kichapo cha mbwa koko na wenzake kwenye TLC, jana kwenye monday night raw amepewa kichapo kingine kizito na management nzima ya raw!
 
Ila pamoja na yote mi naamini hii game huwa wanapigana ukweli kbs.
Mf: brawn strowman alipigwa mkono mpk ukavunjika ukaanza kuvuja damu na mpk sasa mkono bado haujapona, umefungwa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Mpambe wake McIntyre atakoma
 
Ila pamoja na yote mi naamini hii game huwa wanapigana ukweli kbs.
Mf: brawn strowman alipigwa mkono mpk ukavunjika ukaanza kuvuja damu na mpk sasa mkono bado haujapona, umefungwa
Huwa kuna trick na reality mkuu!
 
Aisee mbona time hii hawaoneshi Wwe supersport8 kuna mabadiliko yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…