Naamini hilo,ilikuwa mpango ili itengenezwe game ya mtu 3
TRIPLE POWER BOAM.... [emoji23] [emoji3] #THE SHIELD [emoji1017][emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1038381View attachment 1038382
Umechezea nini mkuu..? The shield namba nyingine bwanaMain event ya fastlane ilikuwa kali sana hadi Roman reign amechezea end of the day!
Main event ya fastlane ilikuwa kali sana hadi Roman reign amechezea end of the day!
Personally sipendezwi kabisa na hiki anachokifanya McMahon dhidi ya Kofi.
Rey masterio mbona mwaka jana mexico kaua mtu. But ni ajali tu za bahati Mbaya
Aisee hii timu naielewa sana, hua nataman wacheze kila siku aiseeNasubir nione team gan itaweza kuwastop
Ricochet and Aleister Black
Wananikosha sana hawa vijana kutoka NXT.View attachment 1034729View attachment 1034730
Sent using Jamii Forums mobile app
Bobby Lashley[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1038381View attachment 1038382
[emoji123][emoji123][emoji123] View attachment 1043194
Mimi namkubali zaidi Seth freaking rollins!