Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
AKA the BeastSlayerMimi namkubali zaidi Seth freaking rollins!View attachment 1045990
Mtu na kaka yake,wote wanatokea Ireland![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1047882
Sema huwa akichezea kipigo anakuaga kama teja namuonaga huwa hanaga amsha amsha sana akikutana na mbabeMimi namkubali zaidi Seth freaking rollins!View attachment 1045990
Dah huyu demu namkubali hadi najionea hueuma aisee,alafu ajabu eti demu mkali hivi Jamaa anayemlea ni wa kawaida sana yani,hadi najiuliza alitumia dawa gani kumpata huyu demi.
Dah huyu demu namkubali hadi najionea hueuma aisee,alafu ajabu eti demu mkali hivi Jamaa anayemlea ni wa kawaida sana yani,hadi najiuliza alitumia dawa gani kumpata huyu demi.
Nicki bellar
Ha ha ile mipango tu...bado watampa kofi chance ya mkanda wreslemaniaHichi kibabu Mcmakhoman matako yake anachomfanyia Mgana Kofi Kingsaton basi tu ningekuwa huko na niwe na sumu ningekaloga pumbavu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyamwezi wako Chuma ile mbaya yaniPale ronda rousey anapokutana na wababe![emoji12] View attachment 1050357
Yuko nao kila siku. Ni actor huyo...kachek MILE 22 kapiga kazi nzuri ndani humoPale ronda rousey anapokutana na wababe![emoji12] View attachment 1050357
Watu wa ireland wanapenda sana ngumi eehMtu na kaka yake,wote wanatokea Ireland![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 1047882